Miongoni Mwa Changamoto Kubwa Inayoonekana Kuchangia Kampuni za Watu Kufa Kabla Hata Hazijazaliwa Ni Kukosa Taarifa Sahihi Kuhusiana na Usajili, Ufunguzi na Uendeshaji wa Kampuni.
.
Nimeshuhudia Kampuni Ina Madeni Zaidi ya Milioni 10,20 Mpaka 50 Na Hata Usajili wa CRB TU Haina Bado..Unaweza Kuwa Unajiuliza How Inakaaje Hii.?
.
Changamoto Kubwa Ni Watu Kutokutaka Kutafuta Taarifa Sahihi Zitazowezesha na Kufanikisha Lengo Lao la Kumiliki Kampuni na Kuiendesha Vizuri..
.
So Ndani ya Video Hii Link Nimekuwekea Hapo Chini Nimeeleza Kwako Wewe Ambae Unatamani Kujua Hatua Unazohitaji Kufata na Team ya Watu wa Muhimu Unaohitaji ili Kusajili na Kufungua Kampuni ya Ujenzi [Building & Civil Contractor]: 2026!
.
Bofya Link Kufahamu Zaidi: